"Kisakinishaji cha furushi" "Sakinisha" "Kwisha" "Ruhusu programu hii:" "Ghairi" "Haijulikani" " inasakinisha..." "Progarmau imesakinishwa." "Unataka kusakinisha programu hii?" "Programu haikusakinishwa." "Inaonekana kifaa kimeharibika" "Furushi lililopo kwa jina sawia na sahihi inayogongana tayari limesakinishwa." "Kifurushi kinafanya kazi tu na toleo jipya la Android" "Programu hii haitangamani na kompyuta yako kibao." "Programu hii haitangamani na simu yako." "Furushi bainifu lilifutwa kabla ya usakinishaji uweze kukamilika." "Furushi halikupitia uthibitishaji na haliwezi kusakinishwa." "Muda ulikwisha ulipokuwa ukijaribu kuthibitisha furushi hili. Jaribu kusakinisha tena baadaye." "%1$s haikuweza kusakinishwa kwenye kompyuta yako kibao." "%1$s haikuweza kusakinishwa kwenye simu yako." "Fungua" "Sakinisha imezuiwa" "Kwa usalama, kompyuta yako kibao imewekwa ili izuie usakinishaji wa programu ambazo hazikupatikana kutoka kwa Soko la Android." "Kwa usalama, simu yako imewekwa kuzuia usakinishaji wa programu ambazo hazijapatikana kutoka kwa Soko la Android." "Sawa" "Mipangilio" "Chanzo kipya cha programu" "%1$s anataka kusakinisha programu nyingine. "\n" "\n" Ruhusu hii sasa na katika siku za usoni?" "Dhibiti programu" "Badilisha programu?" "Programu unayosakinisha itachukua nafasi ya programu nyingine."\n\n"Data yako ya mtumiaji wa awali itahifadhiwa." "Huu ni programu ya mfumo."\n\n"Data yako ya mtumiaji iliyotangulia itahifadhiwa." "Nafasi imeisha" "%1$s haingeweza kusakinishwa. Wezesha nafasi kiasi na ujaribu tena." "Sawa" "Programu haikupatikana" "Programu haikupatikana katika orodha ya programu zilizosakinishwa." "Sanidua programu" "Sanidua kisasisho" "%1$s ni sehemu ya programu ifuatayo:" "Unataka kusanidua programu hii?" "Unataka kubadilisha programu hii na toleo la kiwanda?" "Inasanidua..." "Kusanidua kumemalizika." "Kusanidua hakukufaulu." "Haiwezi kusanidua kwa sababu furushi hili ni kifaa amilifu cha usimamizi." "Dhibiti wasimamizi wa kifaa" "%1$s haingeweza kusaniduliwa." "Changanua hitilafu" "Kulikuwa na tatizo la kuchanganua furushi."